22.11.13

Monday, January 26, 2009

DJ CHOKA "Asante mungu kwa kuniokoa na ajali mbaya"

Ilikuwa ajali mbaya niliyoipata maeneo ya Upanga nikiwa na gari la Prof Jay aina ya Benz Black, ilikuwa ni ijumaa kuamkia jumamosi nilipokwenda kununua Luku pale Fire na kurudi na barabara ya upanga ndipo tairi la kushoto la mbele lilipopata pancha kwenye njia panda ya kwenda Muhimbili na Diamond Jubilee na hatimaye kuyumba kwa sababu nilikuwa speed, jitihada zangu na mungu akanilinda sikumgonga mtu wala sikugonga gari la mtu ila niliishia kwenye ukuta wa nyumba ya muhindi na kazi ikaishia hapo hapo. Namshukuru mungu nilitoka salama hakuna mahali popote nilipoumia, picha unayoiona hapo juu ndio benz ilipoishia kwenye nguzo za geti. MUNGU MKUBWA

7 comments:

Anonymous said...

Eh Bana Pole Sana Babu..Mungu Ana-Ride nawe...Still Blog Yako Inabamba..Nai-Gonga Kila Siku...Pamoja! [Q]...Ohhh swali hii Mixtape Ya Shangwe Inapatikana Vipi?..Holla back

Anonymous said...

Shukuru mungu gari kitu gani kwanza maisha mengine yanafuata ungepoteza mkono ujue pro jay angepoteza bonge moja la dj
niite X-MZOZO KUTOKA PAMOJA WAZEIYAH CREW NDANI YA MIKOCHENI

Anonymous said...

Duh ebwana Pole sana Mzeiya , tunamshukuru Mungu kwa kukunusuru kwenye hiyo ajali tupo pamoko mtuu wangu... worldhiphop123.blogspot.com wanakupa pole sana.... Kaboom!!!!!!

Anonymous said...

Ebwana tupo pamoja mkubwa!

Anonymous said...

ebwana mi ninge mind gari kama ingekuwa yangu, au insurance italipa?

Anonymous said...

pole sana mzazi hapo ni kumshukuru mungu,kwa sababu bado anakutaka uendelea na ratiba nyingine za dunia!!!
endelea kufanya unachofanya

Anonymous said...

Hello! I realize this is somewhat off-topic however I needed to ask.
Does building a well-established website like yours take a lot of work?

I am brand new to operating a blog but I do write in my journal everyday.
I'd like to start a blog so I can share my personal experience and views online. Please let me know if you have any ideas or tips for brand new aspiring bloggers. Appreciate it!
My web page - numerology calculator