22.11.13

Saturday, July 04, 2009

HEBU WEEKEND HII TUJADILIANE KIDOGO.

Michael Jackson ni mwanamziki mkonge na nibingwa katika mziki wa POP duniani, amefariki dunia nakutuachia kumbukumbu zake kibao. Sisi kama wadau wa mziki hapa kwetu Tanzania tunawashauri nini wasanii wetu wa hapa bongo ili wawe mfano wakuigwa kama Michael Jackson.
Nitumie maoni yako ili kuundeleza mziki wetu wa Bongo Fleva ufikie alama za juu kabisa.

BONGO STAR LINK INAWAPA POLE MASHABIKI WOTE WA MICHAEL JACKSON NA MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI
AMIN.


7 comments:

ROSEMARY said...

dj choka wasanii wetu ukiwashauri wanakuwa bado wanalewa sifa na hakuna wanachokifanya, kazi yao kuota vitambi na kuboronga kwenye steji, wale kule wakipata hela wanaangalia maisha yao ya baadae, haya sasa tuone kama kuna msanii wetu hapa TZ atakayefikisha miaka 50, nasemea hawa wa ubongo wa fleva, TUJIREKEBISHENI JAMANI

Anonymous said...

MICHAEL alikuwa msanii mwenye kujituma sana kwenye game ndio maana kaweza kudumu na kuitunza heshima yake, ingawa vijimambo vipo kwa mastaa, hapa kwetu wasanii wetu wananyonywa na wasimamizi wao dat why wanabaki kuwa vile vile na hawavuki mipaka, big up kwa prof jay, fid q,ay,ali kiba na mwana fa kwa kuonyesha msimamo kwenye game

MUSA said...

choka wasanii wetu wanatakiwa wawe na msimamo wa pamoja ndio watapiga hatu, lakini la sivyo hawatafikia apa alipofikia huyu jamaa

rafiki said...

wakasome kwanza ndio wataujua mziki, wasanii wetu wanakurupuka tu sijui hata walikotekea ni wapi, basi wakisapendwa wanaringa na kujisahamu, choka Michael na MICHAEL tu na hana mpinzani yoyote

Anonymous said...

ongezeni idiii mtayafikia malengo wengine humo mapleya hetaz

remmy said...

choka bora useme mwingine lakini wasanii wetu wasimuige uyu jamaa coz levo za huyu jamaa ili wazifikie wakubali kuwa hawatakuwa wao tena bali vizazi vyao

Anonymous said...

kaka choka duh kwa wasanii wa bongo kufikia level ya wacko ni ngumu cuz ukiwasifia watajaa sifa mabichwa yatakuwa hinhaaa..ok labda mzee nature anaweza kufikia level ya wacko ama mzee KG mtoto wa tabata pale kwetu shule ya msingi tabata..
KG naona anakaza buti so anaweza kuichana hata level ya wacko..
suna bufungile
mtoto wa tabata dampo maji machafu kunakonuka