22.11.13

Wednesday, August 05, 2009

ELIMU HAINA MWISHO, NIMERUDI SHULE.

AY msanii mkongwe na mwenye heshima kubwa ndani na nje ya Tanzania, ameamua kurudi shule ili kujazia jazia madini fulani kichwani kwake ili awe imara katika biashara zake.
AY yuko pale chuo cha NCC-LEARN IT na anasomea INTERNATIONAL BUSINESS.
Kila la heri brother tupo na wewe kila idara.

8 comments:

Anonymous said...

KILA KITU HUANZIA KWAKO BRO WENGINE WANAFUATA NA KUKUIGA, BIG UP SANA

Anonymous said...

Nice ay..

suzy said...

jamani wewe kaka unajituma sana, huyo aliyekupa maamuzi yakukuambia ukasome mpe hongera sana

suzy said...

jamani wewe kaka unajituma sana, huyo aliyekupa maamuzi yakukuambia ukasome mpe hongera sana

Iddah said...

KILA LA KHERI NDUGU KWANI KUIMBA NA SHULE VINAENDENA SANA KWANI NI BONGE LA HESHIMA, HII INADHIHIRISHA SANA KWAMBA KUWA MWANAMUZIKI SIO KIGEZO CHA KUWA NA ELIMU NDOGO.

BIG UP MEN

Jacqilicious said...

All the best AY....I will always wish you good.! xoxox.

Jacqilicious<3

nassibu said...

MM U KNOW ME BRO. I APPRICIATE WOT UR DOIN IN THE EVERYDAY LIFE LET ME SAY BIG UP.............4 HELPING SOME BONGO ARTISTS 2 BECOME FAMOUS N ROLE MODELS....THANX A LOT CHOKA MAY GOD BLESS U BRO..............1 LUV NASSIBU FROM MALAYSIA BT AM TANZANIAN MAN.............AYYYYYYYYYYYYGHT.

Anonymous said...

Hey Choka mambo vipi? nimefurahishwa sana na mpango mzima uliokuja nao, nimetembelea hii site kwa mara ya pili sasa na nimejaribu kuiangalia kwa makini kunamambo hayajafurahisha hasa swala zima la web design, amejitaidi ila kunaswala kama web ni ndefu sana, kapanga picha huku na huku kisha katikati kuna nafasi na mengine mengi madogo madogo nadhani kunakazi ya kufanya hasa kwenye design kwanza. Mi ni Fadhili nafanya IT kwenye chuo kimoja EA.