Hii ni shule ambayo ipo maeneo ya Bagamoyo si mbali sana na Bagamoyo Town inajulikana kwa jina la
NIANJEMA HIGH SCHOOL, shule hii bado mpya sana na ina kidato cha kwanza hadi cha tano. Ina walimu wazuri wanaojua kufundisha masomo na mpaka mwanafunzi akafaulu mitihani ya National.
Hapa ni sehemu ya kukutana wanafunzi na walimu majira ya asubuhi na baadaae huruhusiwa kwenda madarasani.
Madarasa kama yanavyoonekana yakiwa yamejipanga na mengine yapo kwa nyuma yakijengwa
Mwanafunzi anapokuwa eneo la shule basi kiswahili kinatupwa kulee halafu mpango mzima unakuwa ni ngeli kwa kwenda mbele i mean
SPEAK ENGLISH ONLY.Miti yakutosha na hali ya hewa ni safiiiiiiiiiiii wala hakuna utata kabisa, swala la msingi ni mzazi au mlezi kama unaangaika kutafuta sehemu yakumsomesha mtoto au mdogo wako basi fika shule hii iliyopo Bagamoyo ili apate elimu bora kabisa.
2 comments:
Shule ni nzuri sana jamani....natamani ningekuwa mwanafunzi tena
choka bora kidogo uwe unapitia pitia na shule ili kuona shule zetu zikoje..sisi wahuku mbali tunahamu kweli kweli...big up choka
Post a Comment