22.11.13

Sunday, March 21, 2010

VIDEO MPYA YA H.BABA



13 comments:

Anonymous said...

GHAIGHAIIGHAII!!!! EBWANA CHOKA HILO VIDEO HATAAARIII, MTOTO HUYO MAMAA YANGU, KWELI H-BABA ANATISHA

Anonymous said...

I like the Track n Much the Video Production, emptysoulz? U guys r the Best of the Rest. Safi
Salama.

Anonymous said...

Dj Choka Umenikumbusha Bitozi fulani wa UK aliyedai Tanzania video bado, sasa nadhani jibu anazidi pata, Bongo noma na pia hata watoto huku ni full kuliko huko kwa watu. Video Bomba wazeeeyaa

Anonymous said...

hizo rangi za video si mchezo. imebeba vilivyo video

Deo (USA)

Anonymous said...

Emptysoulz nawafeel sana

Nikay Lolland

Anonymous said...

Nimenyamaza lakini wacha leo nisema
UNATISHA KAKA!!!!! na Kichupa kimetulia kama kawa

Anonymous said...

Kila siku Choka hii video huwa inanipita sasa leo, bweleleee naiona safi thanks mtu wangu pamoko

Anonymous said...

chapa ilale wakubwaaa safi kazi

ughaibuni said...

usilolijua ni kama usiku wa giza nene ....sisi wabongo daaa...mnashambulia mpaka kwenye penalt ili mradi goli liingie.

Anonymous said...

wabongo bwana wanajua kuonyesha magari magari ndio video nzuri pambafff

Anonymous said...

JAMANI WABONGO SISEMI NI VIBAYA MTU KUSEMA KILE ANACHO KI FEEL MOYONI MWAKE,NAONA HUYO JAMAA HAPO JUU ETI ANASEMA JAMAA WA UK KASEMA VIDEO MBAYA SASA KAMA MBAYA ASISIME?HUENDA IKAWA NZURI ILA VILE VILE ANA HAKI YA KUTOA MAONI YAKE YA MOYONI.SI MTETEI ILA UKWELI JUA KWAMBA THE BEUTY IS IN THE EYES OF THE BEHOLDER,YAANI KWELI WABONGO KUFIKIRI ZER0 KABISAAAA KILA MTU ANA HAKI YA KUSEMA ATAKACHO WEWE VIPI BWANA..UNATOKEA SAYARI GANI?ANYWAY LABDA SHULE AU USWAHILI MWINGI SIJUI.THIS IS FREE WORLD WHERE EVERYONE IS FREE TO SAY WHAT HE/SHE FEELS.MIMI SIONI TATIZO LA HUYO JAMAA KUSEMA VIDEO MBAYA,HUO NDIO MTAZAMO WAKE.TUNA SAFARI NDEFU SANA KWA KWELI,WEWE NDUGU YANGU WA UK NA WEWE VIPI HIVI VITU VINGINE VYA WAHUNI SIO VYA KU COMMENT PENGINE ULITAKA KUWASAIDIA ILA WAO HAWATAKI.

Anonymous said...

kallage,kiumbe,visual lab wengine tupa kapuni hata ukiweka awards za video sidhani kama kuna siku hii kampuni itachukua.
anyway kuna kajitihada kidogo ila u gotta pull up ya socks kuwafikia hao niliowataja hapo juu,asante

Anonymous said...

BORA WAMETOA VIDEO PRODUCERS KTK AWADS ZA KILI MAANA HAWA JAMAA WANGECHUKUA KIBAO AWARDS BUT KIUKWELI WANATISHA,CHOKA HAWA NI WABONGO AU?????