22.11.13

Saturday, July 31, 2010

Mail kutoka kwa BABA LEVO. "MAMA LEVO ANANIFANYA NIJUTE KUJIITA BABA LEVO"

Jana nilipata mail kutoka kwa msanii wa bongo fleva anayewakilisha kundi la Wanaume Halisi anajulikana kwa jina la BABA LEVO na hebu tuipitie wote.

mambo vp MZAZI?
swala hili lipo hivi. ujue mwanzo nilikuwa naona ni falaja kwa mtoto wangu LEVO kama ntatumia jina la BABA LEVO coz mwanangu akikua ataona ni jinsi gani ninavyo mpenda mwanangu.
lakini kwa sasa baada ya kuachana na mama yake. {MAMA LEVO} imekuwa tofauti kidogo coz juzi nilikuwa na show kadhaa home kwetu kigoma so wakati nipo huko ndo nikawa napata story kibao za MAMA LEVO coz amekuwa maarufu huko kwetu utazani na yeye anaimba.
na bora hata angekuwa anafanya mambo mazuri ingekuwa sio mbaya lakini daaaa!!! yaaani amefungulia geti coz hata washikaji ambao walikuwa wanamuogopa zamani coz alikuwa na mimi leo hii wamekuwa wanamnywesha mapombe wanalalanae yaani ameharibu CV yangu yoote coz kila anapopita watu wanaonyeshana huyu ndo MAMA LEVO aliyezaa na BABA LEVO ni muhuni yaaani kawa kama mtu aliyetupiwa jini la ngono sijui.
nimejiskia vibaya sana coz wakimsema yeye wananisema na mimi kwa vile hili jina ninalo litumia BABA LEVO na yeye ndo MAMA LEVO.
wanawake bana.

KAZI NJEMA MZAZI WANGU

Ni hayo tu ndugu zangu...nasubiri comments zenu je mnamshauri nini Baba Levo.

14 comments:

Daniel .E. Simfukwe said...

Kiukweli Baba Levo ndo jina ambalo kila mtu anakutambua ukilitumia na wewe umekuwa ukimpaheshima kubwa mwanao Levo kwa kutumia jina lake cause unampenda so nikushahuli uendele tu na jina hilohilo mtu wangu ,hio ndio Icon yako mzazi

Anonymous said...

Da Pole Baba Levo Ndo Maisha Mademu Dizain Hio wapo wengi sana Kama vipi amsha achana na mlupo huo,CHAPA ILALE MZAZI.........RAAAA RAAAAA
Robert Sambeke

Anonymous said...

Nyambafu wee,i bet MAMA LEVO is smart than u guy.If u are real good guy and u love ur SON ,U will never ever disgrace his Mom the way u did.i dun even think u gotta ryt to describle her.hope she will take u to justice.U insult the Mom of ur son.shame on u,i dun even think ur son will 4give u 4 this.

ADVICE TO U BABA LEVO
u should think twice b4 go 4ward n talk shiit like this.

Remember this is ur private life,why u wanna all pipo knw bout this.

look the way to solve the problem n to come out like this.

DJ CHOKA WAPUMBAF### KAMA HAWA KAPUNI WATAKUHARIBIA BLOG YAKO.

Anonymous said...

KWELI WENGI WAO WASANII NI WAJINGA SIJUI AU WASHAMBA? WEWE UTAANIKAJE MAMBO YA MAMA WATOTO WAKO KTK BLOG NA WATU WANASOMA HIVI TUTAMCHUKULIAJE HUYO MAMA LEVO NA PIA WEWE KWA UJUMLA?? HATA KAMA KAWA KICHECHE BADO SI SAHIHI KAKA CHOKA MTU KUMUONGELEA KTK JAMII KAMA VILE NI GOOD NEWS... KIUFUPI WASANII WENGINE MNAWA AIBISHA WENZENU, LEO HII MKISEMA ETI SERIKALI IWASIKILIZE KWELI KWA MIFANI KAMA HII HAPO KUNA MASNII AU MVUTA BANGI? LEVO MIMI NI MTU WANGU WA KARIBU LAKINI KWA HILI DU MTU WANGU SIYO UKUBWA HUO NA KAMA WEWE UNAJIITA MWANAUME HUO SIYO UUME BALI NI UUKE!!! UMENIPATA MTU WANGU. CHOKA HUYO JAMAA NAONA AMEISHIWA NYIMBO SASA ANATAKA PROMO YA UDAKU NA HII BLOG WATU WENYE AKILI TUNAISOMA SASA HATUWEZI ANGALIA UJINGA KAMA HUU UNAPEWA HESHIMA, NAAMINI WENGI TIMAMU KAKA MIMI WATAKUPA SAME SHIT
PAMOKAAA KAKA CHOKA!!!

Anonymous said...

Vumilia Baba Levo hii dunia yenyewe alitakiwa atumie jina lake kwakua hamko pamoja,ili asiendeleze ugomvi maana kwa sasa kila moja wenu ana maisha yake.

Anonymous said...

pole sn ndugu yng,yote ni maisha na ndo hivyo jinsi wanawake walivyo vumilia kiume kaka hakuna jinsi kwassb imetoa ss huwezi kurudi nyuma,ila ki ukweli amechafua jina lako ndugu yng.Pole sn mzazi

Anonymous said...

FIRST I WULD LIKE TO SAY AM VERY VERY SORRY BRAH. I REAL APPRICIATE U BUDDY UR WORK AND WAT U DID TO B FRANK,U VE BEEN HONEST WITH WAT U FEEL ABT THIS SITUATION, EVEN PSYCHLOGISTS ADVISES SOMETIMES IF U SHARE IDEAS WITH PEOPLE IT REDUCES PAIN SOMEHOW ALTHOUGH WAT U SAID IS JUST PERSONAL STUFF I REAL APPRECIATE IT, BT WAT U VE TO KNW DAT WOMEN ARE NOT PEOPLE TO TRUST IN UR ALL LIFE JUST CONCENTRATE ON UR WORK AND UR SON ONLY TAKE THEM AS THE OPTION, WOMEN U CAN B CHANGING THEM EVERYDAY BUT UR SON IS URS IN UR ALL DAMN LIFE. SO AM JUST ADVISING DAT U SHULD JUST DO UR WORK AND IF POSSIBLE U CAN EVEN CHANGE UR ARTIST NAME DNT WORRRY U VE ALREAY SHOWN HW MUCH U CARE ABT UR SON. SO JST DO UR JOB, TAKE CARE OF UR SON AND LET HER GO UNLESS U WILL AFFECTIN URSELF PSYCOLOGICALY. THATS ALL MUCH LOVE BRO!
WISH ALL THE BEST ON UR DECISION

Anonymous said...

Hivi inaonyesha how low of a man you are, nafikiri hata sekondari hukumaliza kwasababu ungekuwa hata na elimu kidogo usingeandika barua kama hiyo kuhusu mzazi mwenzako. Na bora hata alivyokuacha kwasababu you dont deserve any kind of woman in this world. Mwanaume rijali haandiki vitu kama hivyo, nafikiri baada ya muda utajiona mjinga haswa, kama una akili za kiume.

Anonymous said...

hey bro very sorry for wat happened to u!!!!!as u know dat women are lik hens!so please go on with ur work bro,god is with u and will be with u forever so i hope will still help u as he did before...all the best bro))))))))

Anonymous said...

Very very very private!!! Pole mwana but mambo kama haya ni ya kuwaambia washkaji zako wa karibu tu na sio kuanika kwenye blog. Sitashangaa kesho na kesho kutwa kuiona hii story kwenye Kiu, Sani au Ijumaa.

Anonymous said...

jus change yo name broe no way out!!!

Anonymous said...

choka sio kila takataka unaiweka humu kwa blog sio ishu mzazi unajiharibia hasa zikiwa za kipumbavu km izi matatizo ya home au mtaani tena b inafsi unayaleta humu?? wote mna haki sawa kutumia jina la mwenenu eti u8nasikia aibu unataka abadilishe na mtoto ni wenu wote hata km akilala na............. haikuhusu si wako tena mind ur DAMN Biz eti ananitia aibu who are u choka umetowa wapi hii rabish

Anonymous said...

hayo mambo sio ya kuanika hadharani usimseme vibaya mtu aliyebeba mtoto wako namna hiyo kama amekuudhi sio lazima kusema hadharani na kumkashifu namna hii

ulichofanya ni kumdhalilisha na kama ana elimu kidogo anaweza kukushitaki na ukamlipa hela nyingi sana kwa kushindwa tu kuwa na hekima

vp kama na yeye angeandika mabaya unayoyafanya hapa ktk blog au tu ni kwa kuwa ww ni rafiki ya Choka unatumia hii blog kumkashifu mzazi mwenzio au kwa kuwa yy hana pa kusemea nimesoma hii post nimeudhunika sana kwa ulichokifanya Baba Levo na nadhani hata muziki wako sasa nitaanza kuukwepa kwa maudhi uliyoyafanya unapoteza mashabiki kwa hili na im telling u itatoka kwenye magazeti ya udaku na utadhalilika sana

wewe ni baba levo na yule ni mama levo hata ukibadilisha jina kivipi utabaki kuwa baba levo kwani jina ni la mtoto na ndio anayehusika hapa na si mama yake hata kama mama yake anafanya nn historia hiko pale pale kuwa umezaa naye na yy ni mama wa huyo mtoto

Kwako Choka- Vitu kama hivi ukipokea kiangalie kwa jicho la tatu kisha tupa kapuni ni upuuzi atakutengenezea maadui mtu aliyeleta habari kama hii na nina uhakika w/wake wote na watu wenye busara wakisoma hii itawasikitisha sana

Mdau wa Bongoflava

Anonymous said...

Il semble que vous soyez un expert dans ce domaine, vos remarques sont tres interessantes, merci.

- Daniel