22.11.13

Thursday, July 29, 2010

TOP MODEL & VIDEO QUEEN "Lucky Peter"

Anajulikana kwa jina la Lucky Peter au Bahati Poteza Poteza...ni model anayekuja juu kwa sasa na utamkuta sehemu mbalimbali vinazoonyesha fashion hapa kwetu. Pia mrembo Lucky amepata bahati yakuwepo kwenye video za wasanii wetu wa bongo fleva na utaweza kumcheki kupitia video ya H.Baba,TID na Gozb akiwa yupo sex zaidi


2 comments:

Anonymous said...

bahati yule modo ashawahi kuwa chizi itz me against tha world

Anonymous said...

BEAUTIFUL SMART INTELLIGENT SUCCESSFUL IRRESISTIBLE AND FAITHFUL...ONE N ONLY LUCKY ALL THE BEST!!!