22.11.13

Saturday, July 24, 2010

WHITE PARTY NDANI YA MUCH MORE NI SOOOOO..

Muda mfupi uliopita nilihudhururia party moja iliyoandaliwa na JAYGONGA pale maeneo ya Posta nyuma ya club Billicanaz namaanisha Much More, na kama unavyoona juu hapo mtu mzima Frank Gonga akichukuwa matukio na Camera yake.

Sio Frank tu hata wadau wengine walikuwepo, hapa nilimfumania Michael Mlingwa aka MX akichukuwa matukio nae yakuweka kwa website yake ya Babkubwa.

Wengine walikuwa wakiwajulisha marafiki kwa njia ya Facebook kwamba kwa mda huo wanapatikana mahali hapo.

Mguu wa Valeur huu hapa ukiwa umetupiwa vitu vyake, Usipimeeeeeeeee

Nimegundua kitu, ule mziki wa alanji kama ukipigwa na wewe maumbile yako ya nyuma kama mungu ajakujalia basi unaweza kutikisa hata mabega na mambo yakanoka au unabishaaaaa.

Thanx god ndio nimeingia home salama na sasa ni asubuhi ngoja nipumzike nijue yapi yatajiri baadae, hapa nilikuwa na Martin mimi huwa napenda kumuita Dad tukielekea home.

1 comment:

Ima (The Designer) said...

Naona watu wote mlitoka chicha sana. big up bro.