22.11.13

Sunday, September 12, 2010

UZURI WA FLEVA NIGHT HUU HAPA.

Baada ya watu kutoka kwenye mashindano ya Miss Tanzania wale watoto wazuri wote kama wakamiminika pale Mzalendo Pub kwenye Fleva Night, hapa DJ Venture, pale DJ Mackay na huku ni DJ Bonny Lov. Na hiyo picha ya juu hapo ni DJ Mackay akisababisha

Wale dada zangu sasa walivyoniona tu ayayayayayaaaa yaani nakwambia dance floor iligeuka kuwa Photo Shoot.

Yaani navyokwambia sijui ni hizi Fanta tu

Ayayyayayaaa

Huku sasa nikaitwa na ma kaka zangu bana na furaha ilikuwa freshiiiiiii

Hivi unajua hapa mjini kuna fashion ya viatu vya wakina dada vimeingia ambavyo mimi sikuviona...cheki hapo chini sasa vile viatu. Halafu kingine hivi vikaputura vyenu kuna wengine wanawaaribia fashion...nimepishana na dada mmoja toilet nakwambia kavaa boksa ya kiume imembana eti fashion. NITAWAPIGIA NAMBA ZENU NINAZO.

Mrs Apetite don't mind mamito, hizi ni picha tu.

2 comments:

Anonymous said...

wasichana wengine!haitoshi wanajiuza hadi publicly,its disgusting.

Anonymous said...

Wachafuuuuuuuu! wabayaaaaaaa! Kikwapaaaaaaaaa! wabongo bwana