22.11.13

Tuesday, November 30, 2010

BODY ART KUTOKEA ARUSHA SASA WAMEWASILI DAR ES SALAAM.

 Yule mshkaji anayechora Tattoo amewasili Dar kwa wiki kadhaa kuja kuwafanyia mambo mazuri kwa wapenzi wa tattoo. Ingawa alikuwa mbali na Dar na watu wengi kuniuliza maswali jinsi gani ya kumpata basi unaweza kumcheki kwa number yake za simu ya kiganjani na kuweza kujua alipo.
+255 717 362 724
KARIBU..

No comments: