Msanii kutoka Kiumbe Rec anayejulikana kwa jina la Abamto sasa yuko tayari kabisa kwa ujio mwingine wa wimbo wake mpya unaoitwa SHOW ME LOVE ambao amemshirikisha kichwa kikali sana katika upande wa Bongo hip hop namzungumzia Young D.
Abamto ameniambia wimbo huo umetengenezwa pale Kiumbe Rec chini ya Prod Georg James, natumaini wimbo utakuwa mzuri sana.
No comments:
Post a Comment