22.11.13

Thursday, September 30, 2010

CHEGE NDANI YA NZUMARI AWARDS.

Have been nominated for Nzumari Awards in the category of Best Male Artist,
the Ceremony wil b on 9
th oct@Club seafront Mombasa, 
don't miss!

MCHANA HUU NIPO STUDIO ZA WATENGWA NIKICHUKUA MAUTUNDU.


 Kama uazitaka hizi tishet na upo Arusha basi utazipata pale Studio za Watengwa Kijenge Juu.

JCB akiwa anafuatilia Mega Mix ya show ambayo itakuwa kesho pale Matongee

Jaco B & JCB ndani ya studio za Watengwa

Kuanzia kushoto ni Mtoto wa Kiuni, Ras Tiff & Jaco B

ROLL-X-SIDE - From Scratch feat Hilde (Official music video)

NIKO SAFARINI.

 
 Niko zangu Arusha mida hii nimeingia jana...safari yangu itaendelea mpaka Nairobi kwenye Exams halafu nitageuza home. 
Hapa nipo na mwanangu wa ukweli kutoka Arusha anaitwa Tippin, baadae nadhani nitatembelea studio kupata moja mbili.

 

HAPPY B,DAY PRODUCER Luciano Lucci Tsere

WUD UP PEOPLE..

Guys naweza sema nimebarikiwa sana mimi..yes i admit that !!
i have a lot of  fans out there, the beautiful fans out there... and wana show Luv na mimi kila wakati Joo..
sina mambo mengi ya kusema zaidi ya asante sana na nashukuru sana, was on my twitter page na nika end up spreading  luv to u guys but honestly ...thanks !!
i mean it, 
thanks a lot guys ..
Mungu awabariki and thanks kwa kuipokea THE BIGGEST SEASON Vizuri !!
trust me am doing it for my People..
All i can say is...
 
Being a Diva, sister, businesswoman, can be challenging at times, especially when it comes to juggling my personal time vs. my work life.
As a passionate Diva sometimes my work schedule runs 24/7 which leaves me no time to spend with my family when am at work.
but we have to realize that getting our priorities clear is the most essential step towards achieving a well balanced life. You have to figure out what is most important to you and not what you think they should be. I always say family first, work & fun will intertwine when you love what you do..
So lets Goooo people ..... as i told ya The Biggest Season is here and the SWAGGER CONTINU !!
stick on Clouds FM  ALA ZA ROHO coz Diva Is Back ya..
U Heard ... luv u guys ..

F.B.G- Like That

Wednesday, September 29, 2010

THANX SO MUCH BONGO 5 KWA KUKAMILISHA NDOTO ZANGU.


MTEMBELEE MJANJA HUYU,

WAKAZI Freestyle featuring HASHEEM THABEET.

PART 1.

PART 2.
 


KINACHOENDELEA USIKU HUU.

Kinachoendelea usiku huu hapa maeneo ya Posta Town ni umaliziaji wa video ya Joh Makini inayoitwa KARIBU TENA.Video hii inavipande vingi so leo ndio walikuwa wanaimalizia, Location hii imetubidi tuje usiku ili kukwepa watu na foleni za magari.

 Nahimani video itakuwa nzuri sana...muda umekwenda mungu jalia tuonane baadae..ONE.

Tuesday, September 28, 2010

FID Q IS BACK HOME.

Kama dakika 10 zilizopita Fid Q amerudi kutoka USA alikoenda takribani miezi kadhaa. Mnyamwezi amefika salama na pichani hapo ni alivyokuwa anaondoka kuelekea Airport ya USA.

PROF JAY AKAMILISHA TOUR YAKE NA SASA IS BACK HOME.

 
Shukrani sana watu wangu wote wa USA Ziara yangu imekamilika salama bila matatizo yeyote, asanteni Sana kwa kunipokea vizuri na kuifanya Ndoto yangu itimie..mungu awabariki sana TUTAONANA AKIPENDA.. TANZANIA NARUDI NYUMBANI!!!

OFFICIAL VIDEO LAUNCH THIS FRIDAY @ZONGHUA GARDEN.

NYIMBO ZILIZOTUFIKIA

1. TMK Halisi - Sauti za Mitaa
2. Afande Sele ft, Ferooz - Simba Dume
3. Balle ft, Afande Sele - Suzy
4. Punit - Rebolz-Timbaland-Drake-Kare

MATONYA & NONINI LIVE IN LONDON

•★•★•★BONGOUK PRESENT EAST AFRICAN SHOW DOWN 2010•★•★★•
               @
TEREZA JOANNE BOAT
KING GEORGE V DOCK E16 2QY
London, United Kingdom

•★•★•★•BONGOUK ENTERTAINMENT ARE TAKING ENTERTAINMENT TO NEW HEIGHTS WITH THE VERY BEST ENTERTAINERS, THE GODFATHER OF GENGE NONINI AND THE BONGO FLAVA KING MATONYA★•★•★•★

★•★•★•★ PERFORMING LIVE ON THE SAME STAGE FOR THE FIRST TIME EVER IN THE UK "THE EAST AFRICAN SHOW DOWN"★•★•★•★

***********************************************

•★•★•NONINI WILL PUT THIS PARTY ON FIRE BY PERFORMING HIS HITS LIKE NEVER B4...........

★•★•★•★GENGE LOVE, KADHAA, MANZI WA NAIROBI, FURAHIDAY ETC..

***********************************************

★•★•MATONYA WILL BE PERFORMING HIS HITS LIKE

★•★•★•★ANITA, VAILET, TAXI BUBU, SPAIR TIRE, SIAMINI ETC


EARLY BIRD TICKET AVAILABLE FOR ONLY £10

£15@THE DOOR B4 MIDNIGHT / MORE AFT

▀▀▀▀▀

►FROM 9PM TILL 4AM

UNIQUE ENTERTAINMENT PRESENTS: GIRAFFE UNIQUE MODEL 2010

HAPPY B,DAY WEMA SEPETU.

MTAA KWA MTAA-KING ABELY FT Rico Single,


Hii ni ngoma mpyaa kutoka ZANZIBAR TANZANIA.mkali king abely akiwa na Mkali wa hip hop ZANZIBAR Rico Single nyimbo inaitwa MTAA KWA MTAA.ikiwa imetengenezwa katika studio bora visiwa humo JUPITER REC ZANZIBAR pamoja na JUPITER VIDEO'S ZANZIBAR. karibu kuitazama one luv my fun's

UKISIKIA PAA LYRICS.

Intro
ahhh...ahhhh
ohhh yeahhh..(shhhh!).. it's the remix
(shhhh!)...JCB....(ahhhh!).....Murder..!
(Tongwe Records Babyyyy)

Verse 1 (JCB)
Damu ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA,
Watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar,
Sio polisi sio baunsa iliye kaa utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini,
Amini usiamini akabaki tu na mimi,
Akanishikia bunduki kwa chini,
Akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga risasi kama sabini,
Anasura kama idi amini akarudi karibu atua tatu mpaka kabatini,
Akatamka HEYOO! nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini,
Akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki
Akasema kama simuonyeshi leo sio koki,jinsi alivyo akilenge ye akosi mikosi,
Kavaa koti jeusi jasusi,
Mikono nikaweka juu kuepuka nukx huku natukana mengi matusi...

Chorus X2
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa

Verse 2 (Fid Q)
Wanasema hugeuka mnyama sana anaposaka pesa
Cha ajabu anavuta bangi lakini hawazii magangstar
Hampaki rangi donkey ili ageuke kuwa zebra
Ndo maana kabla hajaikoki, JCB ali-surrender
Akajifanya hayuko na mie ili niipigie defender
Nikaona vipi nijistukie ghafla nikasikia ''RASTA''
Jambazi linaniita halafu sioni wakuni-backup
Hali inatisha sikuongea nilishut the fluck up
Akaniuliza.. we sio Fid Q yule anayeheshimika mtaani ?
Nikamwambia ndo mimi na huu ndo muda wa kumlaani shetani
Sie wote ni watoto wa mjini siamini vipi hatujuani
Mie alwatani kama Kwere au Chindo popote amani
Akaniambia.. waambie machizi i'm sorry, leo mna-rap wapi ?
Mie sio mtu wa stories, i make things happen
Hii sanaa ni ya watengwa na ngosha...
Ukisikia Paaaaaaaa........ ujue imekukosa

Chorus X2
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa

Verse 3 (Jay Moe)
(aahhh!) Alipogundua ni wasanii,haraka haraka akatuacha
Ndipo tulipomsihi,na watu wengine kuwaacha
Maana ishakuwa msala,na mashahidi nyuzi washavuta
So muda wowote defender,toka hivi sasa itafika
Bora usepe..kuliko kupewa kesi ya mauaji
Au kesi ya kujaribu,kupora kwa kutumia mkwaju
Hakuna mwenye mzigo,waambie wenzako mme-boogie
Na wala hatuna kimango,usione mezani kinywaji
Achana na mambo ya leo,wapi tunapiga show
Pigia wenzako simu,waambie huku ni soo
Hakuna mtu wa madini,sema ni kina jaymoe
Kabla haujaishia mikononi,kwa gorvo..au you know !
Ile anaanza kuchomoka tu,polisi washawasili
Nikasikia mikono juu..kwa sauti ya ukali
Kukimbia akala ya mguu,akasalimu amri
Akanyoosha mikono juu

Chorus X2
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa

Verse 4 (Chidi Benz)
Hata police ni mdili na ndo mchongo ameupanga..
Na ndo yeye wamemtuma jukumu lake kuwa mwanga...
na ile paaahh!! Kama Suka kama kulenga mchanga
Mwisho wa siku mahesabu watu wakacheze fanga
Mchezo kamili ulishapangwa yaliyopita ni historia...
na maneno kaa ya kwenye kanga ya hesabu nishatulia
Wa kucheka wamecheka wa kulia wamelia
Nchi bado haikufea so hamtochoka kusikia
Michezo kama hii kurudia ninajua walala hoi
Wamechoka vumilia...yeeahh
Damu zitamwagika kwa wema na wasio wema...
na imani ya mkabaji ulichokimeza utakitema
Kuna movie ila maisha ka cinema
Unyang'anyi na uchukuzi unaoatokeo kila nikihema ...(hema)
Wanasema ukila nyama....lazima utake tena..
na kweli macho kwa maneno ya viongozi wanaosema
Ni vigumu kutumkia kabla tonge kuingia
So anytime tuwe tayari kuumia....yeeahh
Ni vigumu kutumkia kabla tonge kuingia
So anytime tuwe tayari kuumia....yeeahh

Chorus X2
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa
Ukisikia PAAAA...ujue imekukosa
Aliyelenga hana shabaha...amefanya makosa

Monday, September 27, 2010

Video clip ya ACTION.

The Making Video ya ACTION imekamilika kwa vipande vya Miss Triniti kutoka JAMAICA.

Mchana zilipigwa shot tofauti tofauti pale hotelin na hivi ni vipande vingine vya mchana

Usiku huu Cpwaa na Miss Triniti walikuwa wanamalizia shot zao hapa Maisha Club na kila kitu kimekwenda sawa kabisa. Kesho mwanadada ndio anatarijia kurudi nchini kwao.

 Picha ya mwisho yakuagana na wanadada hawa kutoka hapa Maisha Club. 
Na mimi ngoja nikapumzike sasa, clip za video hii vinakuja baada ya dakika 0.

THE MAKING OF ACTION "CPWAA & MISS TRINITI.

Mchana huu nipo huku Masaki kwenye hotel moja inayoitwa DOUBLE TREE, hapa kuna uchukuaji wa picha za video mpya ya Cpwaa na Miss Triniti. Kwa sasa ameanza shot Miss Triniti na tukitoka hapa tutaelekea sehemu nyingine

Swagga za mwanadafada Triniti hizi hapa

 Luka from Bongo5 & Dj Choka


UZINDUZI WA VIDEO YA FUNGENI MIKANDA NDANI YA CLUB BILLICANS.

Usiku wa kuamkia leo pale Club Billicans kulikuwa na show ya Chege na Temba pamoja na utambulisho wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la FUNGENI MKINDA. 
Na hizi ni moja kati ya matukio yaliyotekea usiku wa kuamkia leo Jumatatu.

 Ma nica Jabir & Dj Choka ndani ya Club Bills.

 Nikiwa kwenye pozi na shemeji yangu wa ukweli

 Hasheem 5 & Dj Choka

 Me na mwandishi kutoka Global Publisher bwana Gerald

 B12, Devi & Miss Jamillah

 Dj Choka & Producer Baucha

 Chege na wanawe wa ukweli.

 Chege na mnyamwezi Pacha

Hapa baada ya kutoka nje nikakutana na wadau wa blog hii na tukaona sio mbaya kuchukua kumbukumbu, kulia kwangu ni braza Adamu Glasgow