Hiyo Kwaito au Soth African melody sasa tumeichoka, kila mtu wabuni kitu kipya na tofauti atachuja sasa hivi. Nilipokuwa nafungua nikasema naomba nisisikie kwaito and boom there it was!!! Boooring ingawa anasauti nzuri na mashairi mazuri. SA Melody no more!!!!
Jamani mnashangaa nn? Hapo ubunifu utoke wapi huyu anatoka kigoma watu wa kigoma kimusic ni sifuli..mm natoka mwanza na nilishasema siku za nyuma ya kwamba hapa tanzania kwetu mambo ya music ni ya watu wa morogoro..na kama mnabisha kwahili nendeni moro mkashuhudie wenyewe kwa macho yenu..vijana wa moro wana vipaji vya kipekee..hivi mnamjua huyu kijana anaeitwa..stamina yani anatisha anamawe mazito ya ujumbe kwenye taifa lake.
Pple will listen jus coz hez got the voice but as its already said we need different flavors from him, hes got the talent i believe he can do somthn else.
7 comments:
Dogo yupo vizuri. Ila asipokuwa mbunifub watu watamchoka. Tunaomba ladha mpya masikioni.
Kwel ano tunaomba abadilike
diamond ni mkali kinouma,nyimbo kali mashair mazuri.kwann asifunike!
Hiyo Kwaito au Soth African melody sasa tumeichoka, kila mtu wabuni kitu kipya na tofauti atachuja sasa hivi. Nilipokuwa nafungua nikasema naomba nisisikie kwaito and boom there it was!!! Boooring ingawa anasauti nzuri na mashairi mazuri. SA Melody no more!!!!
Jamani mnashangaa nn? Hapo ubunifu utoke wapi huyu anatoka kigoma watu wa kigoma kimusic ni sifuli..mm natoka mwanza na nilishasema siku za nyuma ya kwamba hapa tanzania kwetu mambo ya music ni ya watu wa morogoro..na kama mnabisha kwahili nendeni moro mkashuhudie wenyewe kwa macho yenu..vijana wa moro wana vipaji vya kipekee..hivi mnamjua huyu kijana anaeitwa..stamina yani anatisha anamawe mazito ya ujumbe kwenye taifa lake.
Pple will listen jus coz hez got the voice but as its already said we need different flavors from him, hes got the talent i believe he can do somthn else.
Mimekukubali - we mkali wa kwaito!
Post a Comment