22.11.13

Friday, November 30, 2012

KARIBUNI MATHEMATIX CLASSIC WEAR!!! TANGA CENTRAL STREET OPPOSITE NA FOUR WAYS!!

Mzigo mpya umeingia kwenye duka la Mathematix Classic Wear sasa kwaajili ya sikukuu zinazokuja mwishoni mwa mwaka. Wahi kabla haujaanza kujilaumu, kama upo Tanga au ndio kwanza unaingia Tanga basi fika pale Central Street Opp na Four Ways na utaliona duka.

2 comments:

chidimau said...

PAMOJA SANA IWILL COME

Gabriel Raymond Masawe said...

ukiwa unatokea benki ya NMB Mkwakwan Tanga unaelekea Tanesco upande upi?