Mzigo mpya umeingia kwenye duka la Mathematix Classic Wear sasa kwaajili ya sikukuu zinazokuja mwishoni mwa mwaka. Wahi kabla haujaanza kujilaumu, kama upo Tanga au ndio kwanza unaingia Tanga basi fika pale Central Street Opp na Four Ways na utaliona duka.
2 comments:
PAMOJA SANA IWILL COME
ukiwa unatokea benki ya NMB Mkwakwan Tanga unaelekea Tanesco upande upi?
Post a Comment