22.11.13

Monday, December 03, 2012

DIAMOND PLATNUMZ: NATAKA KULEWA (OFFICIAL VIDEO)

8 comments:

zuberi swaleh said...

nahisi mimi ni mtu wa kwanza kuiangalia hii video kwenye hii blog ya dj choka maana nilikuwa nahamu nayo sana ili nii one yaaani ime tulia ile mbaya huyu jamaaa ana kipaji maana hata akienda bongo move ata wafunika mbaya

khaleed sean said...

duh ebwana ni bonge la vdeo, ametokelezea ile mbaya, yaan ikn makini xana. Big up Diamond

charity kisepe said...

me wa pili au

Anonymous said...

Dahhh diamonds are forever......umetisha mwana

Anonymous said...

Imetisha jamaa mkali

Anonymous said...

tisha xana

Francis Malliton said...

Kawaida

Anonymous said...

Katka video mbaya za Diamond hiyo ni yakwanza so anaenda mbele au anarud nyuma? jaman 2saidiane katka hilo ukwel kusema video ni mbovu"