22.11.13

Wednesday, December 05, 2012

Hizi ndio filamu zangu bora kwa mwaka huu wa 2012...."Hemedy Suleiman aka PHD"

(A)THE WAITER (B)RED CROSS (C) SHORT CUT (D) HOUSE MAID...IPI unadhani nilifanya vizuri zaidi???maoni yako ndio nguvu yangu ya kutengeneza kitu kizuri kesho....nawapenda sana#teamPhdeeee