22.11.13

Friday, December 28, 2012

Nunua wimbo mpya R.O.M.A feat Story - 2030 sasa kwa Shs 3,000/=

KAMA KWELI WEWE NI REAL FUN WANGU MIMI KAMA ROMA NA UMEISIKIA NIKIITAMBULISHA LEO CLOUDS FM MCHANA!! NA UNATAKA UIPATE UWE NAYO ONYESHA LAV BASI KWA KUINUNUA NGOMA HII KWA NJIA HII YA KISHKAJI TU KWA TSH. 3000/= ELFU TATU TU...

TUMA KWA TIGO PESA +255 717 720078 AU MPESA +255 762 893469 NITAKUTUMIA!!! ONYESHA USHABIKI WA KWELI BASI TUAMINI NA TUTEMBEE KIFUA MBELE KUWA KWELI NINA MASHABIKI REAL

48 comments:

Anonymous said...

Kama mnafirana vile wewe nyimbo utauzaje 3000 au mnazania watz shamba la bibi. sikatai watukununua single ile wekeni bei reasonable kidogo kweli mtu anunue nyimbo 3000 alafu album iweje????

d2jonathan said...

aina ushanta

BUDU CHASA said...

Kama vp choka mwambiea roma asikilize getto anunui m2 apa

Anonymous said...

iko powah bei people kwa wenzet wnauza uku mburula nying sana ila sinajiona zinajua mbay kisa zimezaliwa town.

Anonymous said...

wewe acha uxenge hyo nyimbo kama hutak kuiweka kwa mtandao kasikilize na familia yako hapa hakuna pesa za mchezo manina zako we

Unknown said...

Sioni sababu ya ww kutukana kama vipi imba ww utoe nyimbo bure!

Anonymous said...

NYIMBO MPYA YA ROMA MKATOLIKI MPYA IITWAYO "2030" WAISLAMU TUNAIPIGA MARUFUKU DUNIA KOTE

Ameusifia na Kuuponda Uislamu pia.. Wewe kama Muisalmu kama unayo ifute na
usi Isambaze...Msahafu kukojelewa asema ni sawa yule mtoto hajui Kanisa kwaiyo waislamu tumefanya makosa kuchoma kanisa.Na isitoshe ametaja neno Allah katika Nyimbo hiyo.

Hii siyo mara ya kwanza kwa msanii huyu kuuimba mada Kuhusu Uislamu katika nyimbo zake au za kushirikishwa Kabla ya Nyimbo hii ameshawahi kutaja Aya ya Quran katika Maafa ya Mv spice


Tuma Ujumbe huu kwa watu wengi Kuhakikisha isisambae.Hii Nyimbo imetoka 28/12/2012.....Hakika Tunaatakiwa si kama waislamu kuonyesha Hatua kali ichukuliwe dhidi yake Kafiri Huyu

Anonymous said...

wah gwan bway

SHARAMBE said...

Kunakitu hamjajua, nilivyo elewa mimi, siokwamba roma anauza nyimbo ili apate pesa, ila anataka kujua nivp bas mnakubal kaz zake,. Romaeee ebwana mimi nataka hilo goma, kama ni gwara laaa, ntumie email EVAIDANCETARIMO@gmail.com, shapshuta jembe

Anonymous said...

katika watu wajinga wewe ni mjinga wa kwanza tena fala mchzi katoa bei che wewe kama bibi yako mkulima kafe mbele mbona malaya mna nunua hata buku teni acha uboya bwege wewe

Anonymous said...

Mbona no mlizoweka hata hazipatikan ama ndo utapeli mweupe?

Anonymous said...

unaeza ukawa shabiki lakn kwa hyo bei co ishu mzaz!

Anonymous said...

Silizen getto choka/roma

Anonymous said...

ucwe jinga la mwisho we boya unaexema ROMA anapondea Uislamu Ielewe mistari ili upate cha kuongea xio unakurupuka 2 kuongea vi2 ambavyo havielewek,ucpende kuchochea uwe unajiulza we unae chochea umejipanga ndo mnakuwaga wa kwanza kukimbia

Anonymous said...

ucwe jinga la mwisho we boya unaexema ROMA anapondea Uislamu Ielewe mistari ili upate cha kuongea xio unakurupuka 2 kuongea vi2 ambavyo havielewek,ucpende kuchochea uwe unajiulza we unae chochea umejipanga ndo mnakuwaga wa kwanza kukimbia

Anonymous said...

Poa.umesomeka roma

Anonymous said...

Ya bure ghali

Anonymous said...

wasenge mnapenda vya bure buku 3 kitu gani maanina zenu mnanunua malaya ambiance buku 10 mnashindwa buku3..via bongo lala mamluki kumanina zenu support hiphop revolutio

Unknown said...

kk lazma nisupport unachokfanya

Unknown said...

tutaonexha ushrikian0 kwa hili

Anonymous said...

wabongo wote mamluki afu huyo kilaza anaesema masuala ya dini yeye ndio mchokoz kumtaja allah ndo tatizo

Anonymous said...

Ss kama mtu amekutumia hela n hana email,hana sijui bbm,hana watsapp...ataipataje?idea ni nzuri sema ingekuwa poa kama ungesema jinsi mtu atakavyopata hyo song

Unknown said...

Hahahaha dizain kama m'mebugi men nyimbo elfu 3,000 tuache kuna nyimbo zenye ujumbe kibao na zenye mda mwingi kuwa hewani sasa nitanunua lini nyimbo 3,000 ila wakinunua watu 20 sema nami nitainunua duh ila wasanii wakibongo kama mnajiona m'mefika wakati hata mbele hamjulikani

Anonymous said...

Hakuna anayependa bure ila bei ya bidhaa inatakiwa watu wamudu, bei ya hiyo nyimbo ni gharama. Kufananisha hii issue na Malaya ni sawa kufananisha maapple na machungwa. Kama umalaya rahisi nenda kauze m@&&du wako uone moto wake.

Anonymous said...

kweli uko sawa kuuza ngoma yako bt kwa tz bado hatujafikia ebu tupunguzie bwana

Anonymous said...

kweli uko sawa kuuza ngoma yako bt kwa tz bado hatujafikia ebu tupunguzie bwana

Anonymous said...

Elimu kitu muhimu kweli boya wewe "shamba la bibi" ni msemo ambao umaana ya kuwa kwenye shamba la bibi halina mwenyewe wajukuu hadi watoto wanavuna tu mazao ingawa sio Mali Yao. Halafu haya nimaoni tu povu jingi hujanunua copy hiyo bei ya single ipo juu hatukatai kununua ila sio kwa bei hiyo vipato vya watanzania wa kawaida ni vidogo na nyimbo za Roma ndo zinawalenga hao wa endeleze harakati ili Tanzania ifike mbali.
Kwahiyo boya elewa vitu ndo uje kukurupuka kwamwaga povu

Anonymous said...

We mbaguzi na mdini acha ushenzi Tanzania ni nchi inayoheshimu kila dini mawazo yako finyu yasilete chuki baina ya watu. Acha Allah atamuhukumu Roma vile anavyoona inastahili yeye kama kweli amekosea.halafu haya mambo ya waislam kupigana vita ya mungu sio ishu kama mtu anakosea kitu mungu atamwadhibu tu

Anonymous said...

Hebu jifunze kuandika vizuri mawazo yako

Anonymous said...

Oi inno kunatofauti ya mambo dunia, Roma anaimba kutokana msanii na msanii anaitaji hadhira na hadhira ndo Mimi na wewe. Ni mgawanyo wa kazi tu Mimi sitaki atoe bure ila aweke bei ambayo fans wengi watamudu ikiwemo wewe.

yesyes said...

Dah jamaa kafanya tangazo ya nyimbo yake watu mmegeuza hii ni sehemu ku2kanana kweli WATANZANIA bado ha2jielewi

Anonymous said...

kuna wa2 wengine bana kama wametumwa vile suala la dini na wimbo wapi na wapi.inwezekana wewe ni kilaza hujaenda class coz hiyo nado kazi ya fasihi.Mbona kawasema viongozi wakubwa wengi tu hamkusema aje aseme dini ambayo hata baba ako hajui ilikotokea nyie mmerithishwa 2 afu kelele kibao we kuzi nini..Halafu watu kama hawa ndo wanafki na dini zao kama unaimani kweli huwezi kuchochea usenge kama huu just tangaza amani.Mbona wakina mzee simba hawaongeagi ila vidampa ambao hata aya za quran hamjui bali mmekariri tuu..wewe sio mtanzania inaelekea una imani ya kuiga na usije fanya hivo.swala tano malaya tuuuuuuuuuuuuu kafirwe huko...

Anonymous said...

Now dayz watu wanauza single zaidi kuliko album so shout outs to ya R.0.M.A

Unknown said...

duh wabongo tunachonga sana thats why hatupigi hatua........hii biashara huru jamani!!!! huna nia ya kununua stay calm cuz sio kesi...pa1 roma

Anonymous said...

MPANGO MZIMA NI HUU HAMNA HAJA YA KULUMBANA ANAYEITAKA AKAE KIMYA NA ASIYE ITAKA AKAE KIMYA MTOKEO ATAYAPATA MWENYEWE KUWA WANGAPI WANA MKUBALI

NO said...

Hivi huyu jamaa anaesema waislam sijui nn anatumia akili kufikiri kweli au huwa anafirwa hafu hayo matako yaliyofirwa ndo anayatumia kufikiria!! Hayo mambo ya kuchochea wakati unajua yakitokea ya kutokea wa kwanza kuteseka ni mwanamke na mtoto ambae ni Mama na mdogo wako ni sawa na kuwatoa kafara hawa kwaajili ya kutaka kutangazwa bbc ukome kenge wa blue wewe.

Unknown said...

Mziki wake una thamani kuliko 3000 so Kama tunaweza tumsapoti.

Anonymous said...

Dini mmeikuta lkn mnataka kuifanya km mna hati mmiliki nayo(unashusha hadhi ya dini yako), abudu kwa nafasi yako subiri kifo chako ukapate hukumu yako. Usihukumu binadamu wengine hiyo sio kazi yako!!

Anonymous said...

wapo wasanii wanaofanya hiphop zaid ya roma ambao bei hyo ndio bei ya albamu kama vile one incredible,stereo,nikki mbishi,songa na getho ambasador 2menunua albamu ila kwa bei hyo ya single moko Roma hata kama 2napenda hip hop umeua mbaya fanya kama unaicheki hadhira inataka nini ila sio uitoe bure punguza hicho kiasia cha bei si tutaipakua aseeh

Anonymous said...

in short kwa wabongo wa kawaida Roma unaonekana kama kujifeel flan,we utauzaje wimbo kiivo au cause ushatoka? tutakurudisha undergroud!

Anonymous said...

Kiukweli sitaki ingilia mawazo ya mtu yoyote ila langu mimi cwezi nunua coz hata za akina cent huwa nadownload tu then me sio fans wa Roma angekuwa Ngosha au Stamina yes ningenunua lakini najua jamaa hawawezi fanya huo unyama coz haina tofauti saana na UFISADI.

Anonymous said...

NAONA MNATUKANANA WAKATI WIMBO UPO KWENYE BODA BODA ZA KUTOSHA NA BLOGS KITAMBO ME SIONI SABABU YA KUTUKANANA.

Anonymous said...

Daah, ebana kila unachokitaka lazma ukpiganie, so hata ukiandika oh mi co fun wa roma mara ctaki wimbo, hzo zote mbwembwe wimbo ndo unataka ila kesh ndo huna bas kama ni hvyo omba kupunguziwa 2.

Anonymous said...

Ebana ni blog gani ina wimbo huo?

Anonymous said...

Wengine hatujausikiriza huo wimbo kwan ukoje? Mpaka roma atake ela kupitia huo wimbo? Mbona kwenye mathematics hakutaka hata jero na wimbo umebamba?...samahan lakini

Anonymous said...

wewe ni mungu?uislamu uarabuniii hapa tz nchi haina dini hiii.

Anonymous said...

ACHENI UTOTO...SINGLE MPYA YA BRUNO MARS UKINUNUA CD UNAUZWA DOLA 7 ITAKUWA HIYO BUKU TATU...KAMA HUTAKI KUNUNUA USIONGEE KAA KIMYA...NDO NYINYI BAADAYE MNAWACHEKA WASANII HAWANA KITU

Joe said...

Mwenye akili timamu kwanza hawezi tukana.

Mwenye hofu ya mungu wala hawezitukana.

Mwenye kuipenda dini yake wala hawezi tukana.

Uliyetukana rudia chekechea, na kama u-mwaislamu, basi kuanzia leo wewe ni mpagani.