22.11.13

Monday, December 03, 2012

SHUJAA

STORI KWA UFUPI Amani ni mmoja wa vijana aliyeguswa na kitendo cha Raisi JAKAYA MRISHO KIKWETE cha kuamua kupima VVU hadharani .Naye kuanzia hapo alijiwekea utaratibu wa kufanya hivyo kila baada ya miezi mitatu, na kwa bahati nzuri alikuja kufanya kazi katika shirika linaloshugulika na na kupima VVU na Ushauri nasaha. Siku moja alikutana na binti mzuri Fransisca akiwa katika mazingira ya kujiuza (changudoa). Alimuona ni mzuri sana akampenda, na akataka kujua zaidi .Hadithi ya maisha ya yule msichana ndio yanamfanya amani awe na imani zaidi .Lakini jambo moja linatatiza kati yao je yule msichana ni salama? hakuna kinachoweza kufumbua fumbo hili zaidi ya kwenda kupima kitu ambacho Francisca hakuwa tayari kutokana na idadi ya wanaume aliotembea nao. Ugumu wa jambo hilo haumkatishi tamaa amani, hatimaye anafanikiwa kuokoa maisha ya msichana huyo. Na kutimiza ndoto zake za kuwa shujaa kama Raisi Jakaya Kikwete.

No comments: