22.11.13

Tuesday, January 08, 2013

(Audio) Wagamba Family

Nitrack kutoka kwa wanamember wa Wegamba Family. Sulesh & R.Mau. Hawa
jamaa ni mapacha, R.Mau akiwa chuo cha SAUTI Mwanza akichukuwa Degree
ya Mass Communication na Sulesh akiwa Anasomea Public Relation chuo
cha DSJ Dar-es-salaam. Sikiliza na Download track zao mbili hapa.

Track CASH RIGHT HERE_SULESH & R.MAU.(
http://www.hulkshare.com/dl/bolxmdvi651c )
Track NAAMINI SIPOTEI_SULESH & R.MAU. (
http://www.hulkshare.com/dl/9rg04jrjs3cw )

No comments: