22.11.13

Monday, January 14, 2013

Msanii WABABA (BSS 2012) anakabiliwa na kesi ya kutembea na mwanafunzi

 Mapenzi yao yalianza tangu binti akiwa kidaato cha tatu lakini halikuwa penzi lenye mashamu shamu kwa kuwa wabababa alikuwa bado hajamiliki pesa na heshima katika jamii inayomzunguka kama sasa mara tuu baada ya kuchukua kifuta jasho cha bss na vijihela alivyopewa na mapapaa waliokubali kazi aliioifanya bss hivyo kuwa na kiburi kilichomfanya amtie mimba mwananfunz ambae aligundulika kuwa ametoa mimba mara taarifa za mahusiano ya wababa na mwanafunzi huyo kufikishwa kwa mama mzazi wa binti huyo. Wababa aliwekwa ndani kwa muda wa siku mbili na kesi bado ipo mahakamani na wazazi wa binti wameapa kumweka ndani wababa na kumfanya kama Babu Sea huku binti akiwa hajaonekana siku ya 4 sasa na kutokujulikana alipo kwa madai anampenda wababa na wakimfunga tu nae anakunywa sumu.

2 comments:

Unknown said...

hakuna chochote,mnataka kumpa 2 umaarufu,kama hana kipaji ni hana 2.

Anonymous said...



Alie andika hii habari anaoneka ana wivu sana sana eti "viji hela alivyopata na kifuta jasho cha BSS"
kwanini watanzania tunakua hivi lakini kwani ukiandika vizuri utafanyiwa nini??

any way haya yoote yanatokana na kwamba hatuna shule ujinga umetujaa ingekua watu wamesoma kuelewa maana ya maisha haya yoote yasinge tokea hata kuharibiana show maisha club inatokana na ujinga

sasa naa mini maneno haya
"EDUCATION IS THE BEST MEDICINE" Says Jefferey Cheah C.E.O of Sentosa World Resorts and Marina Bay World