Monday, January 21, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye show ya MABESTE'S NIGHT ndani ya NEW MAISHA CLUB

 M-Rap na Deddy wasanii kutoka Bhitz Music Group walilitawala jukwaa ipasavyo kwenye show hii iliyopewa jina la MABESTE'S NIGHT.

 Hemedy PHD nae alikuwepo

 Shetta kama kawa alifanya vizuri

 Joh Makini

 Ikafika zamu ya mwenye show Mabeste kulitawala jukwaa kama kawa

 Kuanzia kushoto ni Prod Pancho, shemeji yetu kwa Mabeste, Deddy na M-Rap wakishow love

1 comment: