dah nyimbo imeniliza hii, viongozi wetu wanatutesa sana kwa kweli siye tuliochukua uraia wa nchi nyingine, kwa kweli binafsi sijafanya hivyo kwa kupenda, imebidi nifanye hivyo hili nipate maisha huku nilipo, nisingefanya hivyo wangeshanirudisha,lakini mpaka kesho najiona bado ni mtanzania, na still bado najitambulisha kama ni mtanzania, nawaomba viongozi wetu mleta uraia wa nchi mbili jamani mtuokoe ndugu zenu kwa kweli, yani nyimbo imeniliza hii, kikwete miyangu na membe ndugu zangu fanyeni mambo hili nduguzenu tuwe na amani, najua katika msafara wa mamba na kenge watakuwemo,hao mtajua jinsi ya kuwazibiti
NYIE WATU WA KIGOMA NAONA MZIKI WA AFRIKA KUSINI (KWAITO) MNAPENDA SANA. HAMNA UBUNIFU MWINGINE? AU KIGOMA NI SEHEMU YA AFRIKA KUSINI? HAMNA VIONJO VWA KIGOMA VYA KUWEKA KWENYE KOLABO ZENU?
dah nyimbo imeniliza hii, viongozi wetu wanatutesa sana kwa kweli siye tuliochukua uraia wa nchi nyingine, kwa kweli binafsi sijafanya hivyo kwa kupenda, imebidi nifanye hivyo hili nipate maisha huku nilipo, nisingefanya hivyo wangeshanirudisha,lakini mpaka kesho najiona bado ni mtanzania, na still bado najitambulisha kama ni mtanzania, nawaomba viongozi wetu mleta uraia wa nchi mbili jamani mtuokoe ndugu zenu kwa kweli, yani nyimbo imeniliza hii, kikwete miyangu na membe ndugu zangu fanyeni mambo hili nduguzenu tuwe na amani, najua katika msafara wa mamba na kenge watakuwemo,hao mtajua jinsi ya kuwazibiti
ReplyDeleteNYIE WATU WA KIGOMA NAONA MZIKI WA AFRIKA KUSINI (KWAITO) MNAPENDA SANA. HAMNA UBUNIFU MWINGINE? AU KIGOMA NI SEHEMU YA AFRIKA KUSINI? HAMNA VIONJO VWA KIGOMA VYA KUWEKA KWENYE KOLABO ZENU?
ReplyDelete