TGP, Kundi kongwe la
muziki wa hiphop laachia ngoma mpya wakiwa Frost aka Djibril na Snuz
wakishirikiana na Moplus & mwanadada Catrina katika ngoma MILION
MOJAjuu ya beat ya Dj Azard pande za www.noizmekah.com chini ya mix yake DefXtro, Pata kusikiliza
ngoma hiyo HAPA na kwa mawasiliano ya mahojiano na TGP check
nao kupitia +255 765 544491 au +255 713 064 405
Ngoma kali sana hii
ReplyDelete