Wamerudi tena Vijana
toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali
wa kuimba toka Arusha ,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa
"Miles Away" Pata kusikiliza na kusupport wimbo mpya wa HighWay kwa
kubofya HAPA kwa mawasiliano zaidi na Badspenders checki
nao kupitia nambari +255 759 737 673 au +255 655 737 673 na nyimbo ya "Wakati"
toka Badspenders walioshirikiana na Banx bofya HAPA
No comments:
Post a Comment