Friday, February 22, 2013

JCB afunga ndoa na Diana Jørgensen

Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la WATENGWA ambalo maskani yao iko Arusha JCB, juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen pande za Arusha. 

Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha ndoa 

Mtu mzima nae akidondosha wino 

Ndugu jamaa na marafiki waliofika kushuhudia tukio hilo la kipekee

4 comments:

  1. KWELI JEMBE UMEKWIVA, ONGERASANA MZAZI IYO NI ONE STEP FOWARD

    ReplyDelete
  2. Mh anatafuta visa tu huyo. Subir utasikia anaenda kusalimiacukweni ndio kimoja anazamia. Ila mnorway umempata

    ReplyDelete
  3. Gud man,hongera acha hawa watoto wadogo wa dic 2..

    ReplyDelete