BONGO
FLAVA+HIPHOP, BONGO MOVIE, MISS TANZANIA, BONGO MEDIA, KUMBI ZA
STAREHE, BLOGS, WEBSITES..
Wote tunahusika kwa njia moja au nyingine
kuchangia kutoa MATOKEO MABOVU YA MITIHANI YA SECONDARI 2012.. ambapo
67% FAILED (Division Zero).. HAWA WANAFUNZI WOTE NI MASHABIKI WAKO!!..
Lawama Kubwa ya kwanza ni kwa Mfumo Mbovu wa Elimu na uliopitwa na
wakati.. "Very Outdated Curriculum" cannot meet 21st Century demands..
Wewe Entertainer ndio umekuwa ROLE MODEL wa hawa wanafunzi.. KUANZIA LEO
NAKUOMBA UFIKIRIE NI JISI GANI UTAMSAIDIA SHABIKI WAKO HUYO
"mwanafunzi" KUZINGATIA MASOMO??.. NYIE WAANDAJI WA MATAMASHA YA
MUZIKI.. wateja wako wengi ni "wanafunzi".. WEWE MTANGAZAJI WA KIPINDI
MAARUFU KATIKA REDIO na TV.. watazamaji wako wengi ni "wanafunzi".. KUANZIA
LEO ..FIKIRIA NINI MCHANGO WAKO KTK KUOKOA "Taifa La Kesho"??.. Tusikae
na kuiachia Goverment na Politicians, Vijana hawa "wanafunzi"
hawasikilizi Siasa au Bunge.. wanasikiliza ENTERTAINERS..
ACT NOW!!
OKOA
JAMII*
hongera sana kwa umakini uliokuwa nao juu ya swala hili ambalo ni aibu kwa sisi wazazi ni matumaini yangu ujumbe wako umefika kwa wahusika na waufnyie kazi ili kuondoa hii aibu kwa taifa letu.
ReplyDeleteKBC da kwanzanian.......that smartness in you
ReplyDelete