Msanii chipukizi
katika medani ya BongoFleva Ramadhan Jumanne aka 4R toka pande za singida aja
na nyimbo yake ya kwanza kabisa aloipa jina "Kutonipenda" ikiwa ni
Zouk-rnb alorecodi studio za noizmekah Arusha. anataraji kufanya ngoma nyingine
inayokwenda kwa jina "Si ungeniambia" hapo badae lakini kwanza
support "Kutonipenda" kwa kubofya HAPA .kwa mawasiliano ya mahojiano, matamasha na
mengineyo wasiliana na 4R kwa simu +255 766 141 566
No comments:
Post a Comment