Monday, February 11, 2013

Pata kuchek Studio Session ya JAMBO SQUAD na track yao mpya


Mamongoo aka Jambo Squad ndani ya www.noizmekah.com kwa defxtro wakirecord "Tukunyema" Pini lao litalokuwa hewani mwisho wa mwezi huu. Wanatarajia kushoot video kwanza kabla ya official Audio Release kwa Hisani ya VMG Africa na Hoodpixx watayarishaj wa Film & Music Videos.

No comments:

Post a Comment