Msanii anayefanya vizuri kwenye band yake ya AKUDO IMPACT namzungumzia Tarsis Masela ameongea na Bongo Star Link na kusema siku ya Valentine Day pale Makumbusho Kijitonyama anatarajia kuzindua nyimbo zake mbili moja ikiitwa PENZI LIMEZIDI ASALI na wimbo wa pili ni MWIKO.
Tarsis Masela anasema kila atakayekuja siku hiyo mlangoni atapatiwa CD moja yenye nyimbo hizo nzuri bure kabisa na kwa siku hiyo hatokuwa mwenyewe atakuwa na band yake ya Akudo Impact kwaajili yakutoa burudani kali.
Sikiliza hapa chini nyimbo hizo mpya zitakazozinduliwa siku hiyo kwa watu mlioko nje ya Tanzania hii ni kwaajili yenu
next time don't say siku ya valentine day,It's either siku ya valentine or Valentine Day
ReplyDelete