Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video mpya ya Mabeste ft Deddy "DOLE" wasanii kutoka Bhitz Music Group, video hii ilipigwa picha sehemu mbili tofauti nazungumzia pande za Ilala na pande za Mbezi beach katika hotel ya White Sands. Mtengenezaji wa video hii ni kijana anayekuja vizuri kwenye tasnia hii ya video hapa bongo anaishi Arusha ila kwa sasa yupo Dar anajulikana kwa jina moja tu la NISHER.
No comments:
Post a Comment