Monday, February 11, 2013

The Rap City Boss Is Back Nyimbo Mbili Mpya Kutoka Kwa "The Swahili Kid" Reppin Dark EmCeez Connections




The Swahili Kid Ni Msanii Mpya Wa Muziki Wa HipHop Kutokea Jiji La Rap City-Mwanza Akiwakilisha Kundi La "Dark EmCeez Connections" Akiwa Kama C.E.O.The Swahili Kid Ameamua kutoa double track kwa ajili ya kubless mashabiki wake wa hiphop waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu but the boy is back to the game na kwa sasa anatarajiwa kuachia Mixtape album yake iitwayo "B.B.M (Biggie Brutha Mathematics)".Wimbo wa kwanza nimefanya na Big Trill,Kush Hood,Gigi Na female rapper mkali kutoka Atlanta Georgia "Rakea Rudegal Buc" ambaye anaonekana kwenye picha hapo ngoma inaitwa 'Gimme Money".
Wimbo wa pili nimefanya na kaka mkubwa "P The Mc,big trill&b-52" na ngoma inaitwa "Nastiest Flows".
Nategemea kupokelewa vizuri na mashabiki wa hiphop nchini Tanzania na dunia nzima,Pia nahitaji support toka kwa medias ili nyimbo zangu ziweze fika mbali,pia kama kuna management itatokea kuvutiwa na kazi zangu basi tuwasiliane kupitia:
Phone Number:0769396376
E-mail:pacthenotorious@yahoo.co.uk,darkemceez@gmail.com
Kurasa yangu ya facebook ni:
www.facebook.com/ellpollogeezy

No comments:

Post a Comment