Wednesday, February 06, 2013

VODACOM NA FASTJET WAINGIA KATIKA UBIA WA USHIRIKIANO.

WASAFIRI WA FASTJET SASA KUANZA KUNUNUA TIKETI KWA M-PESA

Pichani Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa, (kushoto)akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ubia wa ushirikiano baina ya Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom na Shirika la Ndege la FastJet uliofanyika Dar es Salaam, utakaowawezesha wasafiri wa shirika hilo kuanzia sasa kulipia tiketi za safari zao kwa njia ya M-Pesa.(Kulia ni Meneja wa Biashara wa FastJet, Jean Uku)

No comments:

Post a Comment