Tuesday, February 05, 2013

YALIOJILI KWENYE USIKU WA VIUNO SHOW NEW MAISHA CLUB

 Snura sexy kwenye viuno show New Maisha Club ilikuwa hatari sana kiukweli show ilikuwa hot mwanzo mwisho kila alikuwepo jumapili juzi alikuwa anajua wazi kuwa kilichofanyika ni sawa na pesa aliyolipia, Majanga ilizinduliwa na watu waliipokea vizuri sana.

Kwa picha zaidi ingia hapa: http://hyperhk.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment