Msanii Keneh
amshirikisha Boywonda toka FBG katika pini jipya kabisa "TUZIRUDI" ikiwa
ni Afropop kwa wapenda Clubbing kote duniani, Wimbo huu ni release ya pili ya
kwake mwanadada huyu toka pande za Arachuga mwenye maskani yake Nairobi Muda
mwingi kutokana na kuwa katika Masomo ya ngazi ya chuo, "Nimerecord hii
song Noizmekah Studios and for sure ni kitu tofauti sana na nyimbo zilizopo
Tanzania hivyo nazidi omba support ya fans wangu wote all over na pia Media
houses zote. DownloadHAPA and enjoy
No comments:
Post a Comment