Thursday, March 14, 2013

(Audio) Nay wa mitego ft Diamond Platnumz - Muziki Gani


SONG: MUZIKI GANI
ARTIST: NEY WAMITEGO FEAT DIAMOND
PRODUCER: MR TOUCH

CHORUS
Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani, mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani, tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane Pua nyumbani (ney)  X2 

DIAMOND
Hata bibi yangu mi aliniambia , mwanamke anahitaji kubembelezwa
Kupetipeti matunzo pia, ukienda rafu utampoteza,
Muziki ni mfano wa binti muzuri,
Na ndio maana namtunza kwa   vazi na uturi

NEY WA MITEG
Aaah piga kimya, we ndo haufai kabisa hauna maana
Wabana pua kila siku mnarogana, bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
Mbona unawachezea unawatema kama big g
Mara wema, mara Jo keti, mara Naj, mara Penny, je mnafanya mziki mpate mabinti

DIAMOND
Uuuhhuuuu, hata wazee wazamani, walishasemaga kazi na dawa
Chamuhimu jukwaani, ni kuhakikisha wanapagawa,
Kwa michezo ya kuringa ringa  ndo huwa wanadata
Badilika usiwe mjinga, utawakamata

CHORUS
Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani, mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani, tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane Pua nyumbani (ney)  X2 
  
NEY WA MITEGO
Muziki wenu ushirikina ndio umetawala, q chilla analalama anasema umemroga
 Mganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa,  bila skendo za magazeti basi huskiki

DIAMOND
Mi ni mti wenye matunda, milele siogopi kupigwa mawe
Ubaya wenu wengi kayumba, elimu mliitupa sandakalawe

NEY WA MITEGO
Bado hujanishawishi, bongo fleva inanipa kichefu chefu
Kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu
Mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki , Wabana pua nyie watoto sio riziki,
Mnavaa nguo za dada zenu, zinawabana mapaja nyie makaka duu
Aah nyie watoto mchele mchele , kwenye show viuno mbele mbele X2
Nimewanyamazisha, brazameni vipi  we bado unabisha

DIAMOND
Mi nnamengi nnayajua, ila we ni mtemi utaanzisha utata
Michezo yenu kutoboa pua, bora ninyamaze usinipige mbata 

13 comments:

  1. kutoboa pua,ni kawaida sana, mada hiyo iishe sasa mana ni uamuziwa mtu tu kama wewe haukudhuru. fanyeni kazi msipende kuchokozana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kutoboa pua kawaida kwani yee demu

      Delete
    2. Hiyo kweli wamuache jamaa wa watu mbona yeye kanyamaza kimya

      Delete
  2. Hahahaa safi sannaa bora mnapeana ukweli wemyewe kwa wenyewe. Good combination...atakae kasirika kwa huu wimbo ntamuona hana akili, ni burudani na ukweli ndani yake mradi mnajijua

    ReplyDelete
  3. kiukweli vijana hawa wamefanya vizuri sana,nawatabia makubwa kupitia track hii.

    ReplyDelete
  4. DAH BONGE LA DUDE,BIG UP KWAO

    ReplyDelete
  5. Safi sana wamekomaa hawa jamaa Dayamondi na True Boi

    ReplyDelete
  6. Track imesimama

    ReplyDelete
  7. Dah jaman faanyeni music mbona mshaanza kuwaponda naambao sio wahusika kutoboa pua ni fanny sio mpaka uimbe bongo fleva,just ni uamuzi wa mtu.

    ReplyDelete
  8. Dah jaman faanyeni music mbona mshaanza kuwaponda naambao sio wahusika kutoboa pua ni fanny sio mpaka uimbe bongo fleva,just ni uamuzi wa mtu.

    ReplyDelete
  9. Kazi ya sanaa ni
    1-kuburudisha
    2-kuelimisha
    3-kujenga ushirikiano
    na mengine mengi so Nay ameonya na hii ni fundisho kwa watu wengine.......tubadilike na tukubali kosa pale tulipokosea.......Chid hana sababu ya kulalamika..........time for changes congratulation Nay

    ReplyDelete
  10. Mwana fasihi wa kweli hawezi ku u-dis huu wimbo

    ReplyDelete
  11. ukitaka kufikisha ujumbe ucmpe taarifa atakutana nawo juu kwa juu

    ReplyDelete