22.11.13

Tuesday, March 26, 2013

BALAA ALILOLIFANYA DIAMOND UKEREWE....

Ilikuwa Moja ya Show zangu kwenye Tour yangu ya kanda ya Ziwa
na Hii Ilikuwa Ukerewe Tarehe 15 mwezi wa 3 mwaka huu
.....Nashukuru Mungu Show ilienda Safi
Na wananchi wa Ukerewe walipokea viilivyo Ujio wa Rais
wa Wasafi na Nilikihamsha Kisafi Zaidi...

Zifuatazo ni Picha za Matukio ya Usiku Huo Ukelewe
na Crew nzima ya wasafi...!!

No comments: