Thursday, March 07, 2013

BWANA MISOSI KULITAWALA JUKWAA LA NEW MAISHA CLUB JUMAPILI HII

Mtu mzima Bw. Misosi msanii kutoka Tanga mkongwe katika hili game la Bongo Jumapili hii ataonyesha kwanini aliwasifia mabinti wa Kitanga pale atakaposhusha burudani nzuri kwenye ukumbi wa New Maisha Club Dar es Salaam.
Misosi amesema mashabiki wake wamemmiss sana kwenye steji haswa hapa Dar kwahiyo wajitokeze kwa wingi kwa maana hatokuwa peke yake anapiga show hiyo na wasanii wenzake kama D'Knob, Jay Moe na Dullayo.

No comments:

Post a Comment