Huu ni muunganiko wa
wasanii watano wachanga wa bongo fleva ambao sooo watakuja kuwa wasanii wakubwa
tanzania, Y TONY, MIRROR,SHADOOH,PAPAA MASAI,NA NUH. ambao wako chini ya
mamenager tofauti ambao ni shabaha,hk,mr kapongo,bad, na muro ndio
wanaowasimamia vijana hao kwa pamoja hivi karibuni wanategemea kufanya tamasha
kubwa sana lakuzindua kundi hilo lenye vipaji vyakuimba.new maisha club
dar tar 7 april. na baada ya hapo watazunguka katika maeneo
tofauti katika kujitangaza na kutambulisha kazi zao,shadoo anatamba na wimbo
wake wa by show, wakati papaa masai anatamba na ngari ng'ari aliomshirikisha
ali kiba, miro anatamba na wimbo wake wa mapenzi si kama zamani wakati y tony
anatamba na kibao chake cha sijazoeea masebene. lengo la kundi hili ni kufikia
malengo katika muziki kwa vijana hawa.
No comments:
Post a Comment