Thursday, March 14, 2013

Janjaro akila bata ndani ya South Africa,Cape Town

Wiki kadhaa sasa zimepita toka Dogo Janja aende kwa Madiba South Africa pande za Cape Town kwenye tour yake hiyo kali iliyoandaliwa na Mtanashati Ent chini ya mtu mzima Ostaz Juma na Musoma. Video hii inamuonyesha Janjaro akila bata sehemu tofauti tofauti mpaka bata nae anasema bata.

2 comments:

  1. huu wimbo waache wapige kelele kaimba nani? tafadhali ningependa kujua

    ReplyDelete