22.11.13

Saturday, March 09, 2013

MAKONDE ROYAL CLUB Ikiwa kwenye usafi wa mwisho kabla ya uzinduzi leo usiku

Huu ndio muonekano wa Club mpya iliyopewa jina la MAKONDE ROYAL CLUB iliyopo hapa MTWARA Tanzania. Picha hii inaonyesha mlango mkuu wakuingia ndani ya club na kuna sehemu mbili, sehemu ya VME na sehemu ya VIP na kiingilio chake VME ni elfu 10 na VIP ni elfu 20. 


Club inaukubwa wake ukiingia ndani kwahiyo kama wewe ukitaka kuja Mtwara na ukataka kwenda club jaribu kutembelea hapa ujionee mwenyewe.

Wakati napiga picha hizi club ndio ilikuwa ikifanyiwa usafi wa mwisho mwisho tayari kwa uzinduzi huo, na hii picha hapo ni muonekano wa mbele ya Club ambayo wasanii wakija kufanya show basi watatumia jukwaa hilo

Hii ni sehemu ya VIP kwa juu

Hizi ni ngazi zakupandia VIP

Hii ni mashine mpya hapo ilikuwa inatolewa kwenye box lake na ikanibidi niitext ili kujua yaliyomo yamo au fambaaaaa, mzigo uko sawa na nimeambiwa umenunuliwa hapo kwa Mandela South Africa 

Hizi ni taa za juu wenyewe wanaziita Disco Light ndio zilikuwa zikisafinywa na kutolewa vumbi, taa hizi zipo katikati ya Dance Floor 

4 comments:

bertha said...

Noumar!

Anonymous said...

I relish, cause I discovered just what I used to be having a look for.
You have ended my 4 day lengthy hunt! God Bless you man.
Have a nice day. Bye

My web-site: recruitbk.com
My web site > free xbox live membership.get xbox live codes free

Anonymous said...

What's up, all is going perfectly here and ofcourse every one is sharing facts, that's truly
good, keep up writing.

my homepage ... free xbox live membership.get xbox live codes free

Anonymous said...

Thank you, I have recently been searching for info approximately this topic for
a long time and yours is the greatest I have discovered till
now. However, what concerning the bottom line? Are you sure about the supply?



My site free Xbox live membership.get Xbox live codes free