Naitwa dayna nyange.
mwanamuziki wa bongo freva. ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake
wengne duniani kote ktk kuhadhmisha cku ya wanawake duniani. Nawashauri
wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea
wanaume. Naamini wenyewe 2naweza tena bila ata ya kuwezeshwa.
Nakupitia siku hii muhmu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa
Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia
tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea
zidi yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama
hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la
kila mwanamke na Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana
na majanga haya. tushikamane kujiletea.
Tupendandane tushikamane WANAWAKE
TUNAWEZA.
by dayna nyange.
No comments:
Post a Comment