Ijumaa Hii wakali wa madeejays tanzania
kili xtreme deejayz watafanya yao ijumaa ijayo new maisha club dar,zawadi kibao
zitatolewa na KILIMANJARO ambao ndio main sponser wa usiku huo wa triple bash
itafanyika tar 15 mwenzi huu wa 3 na kuelekea mtwara jumamosi ya tarehe 23 na
mjini dodoma itakuwa tarehe 30 mwenzi watatu,akiongea na manager wa xdeejayz
hyperman hk alisema mwenzi huu wanakuja kivingine kabisa. watatoa zawadi mbali
mbali ikiwepo zawadi ya cd za bure za mixing kali za xtreme deejayz zilizomixiwa
na bad man DVJ MAJEY cd hizo zitatolewa bure kwa kila atakaeingia mlangoni
ijumaa hii zenye nyimbo kali na za kisasa usikose
No comments:
Post a Comment