22.11.13

Monday, April 15, 2013

(Audio) Nakitambulisha kichwa kipya kutoka MOMBASA-KENYA ni Msanii pamoja na Producer wa mziki "TK"

Anajulikana kwa jina la TK ni mkazi wa Mombasa-Kenya, TK ni msanii wa kujitegemea na pia amejaliwa kipaji cha kutengeneza mziki. Hapa leo ametutumia kazi zake 3 ambazo amezifanya yeye mwenyewe kuanzia kuimba hadi kutengeneza huo mziki. 

EMAIL: tktwopro@gmail.com
           tktwopro@yahoo.com
Facebook: Tk mbili
mobile: +254 716072777

No comments: