22.11.13

Thursday, April 04, 2013

(News) Bongo Movies Official website

Chama cha bongo movies (Bongomovies unit) kitazundua rasmi website yao iitwayo www.bongomovies.com siku ya tamasha la linaondaliwa na kampuni ya steps entertainment litakalofanyika tarehe ishirini (20) mwezi huu kwenye hoteli ya Serena iliyopo Dar es salaam
 
Website hii ni maalumu kwa wapenzi wa Filamu wote nchini kwani pamoja na habari rasmi za wasanii wa bongo movies pia itatoa habari za maisha yao ya kila siku, historia zao na Filamu zao zote kwa ujumla.
 
 
Kwa maelezo ya zaidi kuhusu tovuti hii rasmi ya bongomovies wasiliana na:
 
Admin
Bongomovies.com
Cell: 0714 022929
                    
Imetolewa na:
Simon Mwapagata “Rado”
Mob: 0655 180888
Katibu – Bongomovies Unit.

No comments: