22.11.13

Tuesday, April 30, 2013

(News) JOGOO FM imewajibu wakazi wao wa RUVUMA kuhusu TOP 20 ya radio yao.

mtangazaji wa kituo cha Radio JOGOO FM ilioko mkoani Ruvuma, Radio hio ni moja kati ya Radio zinazotikisa Ruvuma. Mtangazaji huyo anaetambulika kwa jina la ''Millan Allan'' Alitamka maneno
Wengi wamekuwa wakizungumza kwanini top 20 ya jogoo hazisikiki ngoma za mtoni naomba niseme kwamba tunaitaji kuupatia mziki wa bongo nafasi ya kutosha kuliko mtoni nafikiri nitakuwa nimejibu swali ambalo umliniuliza.na hivyo ndivyo nilvyo amua kufanya

na mimi naitaji kuuliza swali unafikiri ni kwa nn kwenye top 20 za media nyingi wanapenda kuweka ngoma za mtoni nyingi kwenye top 20

wakati radio zenyewe (baadhi) lakini hata mpakani mwa kenya au uganda hazisikiki
hilo ni swali
swali la pili unakuta mtu anmpa promo msanii wa huko mtoni na anaweza kutumia hata dakika 2 au 3 wakatio huo msaani kama ben po au joe makini amepatiwa sekunde 45 tu na ukiangalia wote wanauwezo ulio fanana tofauti ni moja tu huyu anatumia kingereza na huyu kiswahili sasa je ukiangalia wakupewa promo hapo ninani ni yule ambae anaeleweka na kila mtu au niyule anaelewaka na wa chache hilo ni swali.

2 comments:

Unknown said...

Neno

Anonymous said...

sawa kabisa..