22.11.13

Thursday, April 04, 2013

THE MBONI SHOW inakuja na Exclusive Interview na CMB PREZZO

Itakuwa Recorded IJUMAA kama unataka kumuuliza maswali mawili matatu njoo ukutane nae live, ushawahi kumshika mkono President CMB wewe?!  Najua unamaswali mengiiii Ndioooo njoo basi, na anamazawadi ya kumwaga kwa Fan's wake. For more info call this no's 0659 366664, 0762 656666.

No comments: