22.11.13

Thursday, May 02, 2013

(Audio) J4C ft Eslyne - Niskilize Mimi

J4C amshirikisha Eslyne katika Ngoma yake mpya "Niskilize mimi" ikiwa ni Kazi ya mtindo wa RnB toka kwa Defxtro pande za Noizmekah Studios Arusha. Video ya kazi hii itaandaliwa mwezi huu wa tano katikati in the meantime Download and Enjoy HAPA

No comments: