22.11.13

Tuesday, May 07, 2013

(Audio) Kichomi Dax na "Salute You"

Toka kundi la Northdwellers lenye maskani yake Arusha Makao Mapya aka Magoroo mpaka ndani ya studio za Noizmekah Productions kwa Defxtro,anakuja Kichomi Dax, na ngoma ya "Salute U" Hiphop joint special kwa wanadada mashabiki wa Hiphop na Real G Lifestyle, pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Hiphop Africa,Kwa mawasiliano ya mahojiano na Kichomi Dax wasiliana kwa simu nambari +255 767 211 991...Powered by www,vmgafrica.com

No comments: