22.11.13

Tuesday, May 07, 2013

(Audio) the PlayList With Izzo B

Msikilize Izzo B akikuchizisha na ngoma 5 kali anazozikolea kwenye the PlayList ya 100.5 Times fm na Lil Ommy.
the PlayList inakuletea mastaa ndani ya studio wakichagua ngoma kali na kucheza live kwa hewa, kila jumapili Saa 10 Mpaka Saa 11 jioni. the PlayList "THE STARS REQUEST SHOW"

No comments: